EWURA imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli yaliyopita Bandari Dar ambapo yamepanda kwa TZS 12/lita,badala ya TZS 145/lita ambayo ilitakiwa kutozwa Oktoba 6,2021.Punguzo la TZS 133 limetokana na serikali kupunguza tozo 8 kwenye mafuta.