TFF Waingia Mkataba Na NBC Kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara-Video
Global Publishers October 6, 2021 5,220 views 0 Comments
SHARE THIS:
SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania leo Oktoba 06, limeingia rasmi mkataba na benki ya NBC wa kudhamini ligi kuu Tanzania bara kwa thamani ya Bilioni 2.5 kwa miaka mitatu.