×

Familia Yaunguliwa Na Nyumba, Baba Na Watoto Wote Walemavu-Video

Ni familia ya Bwana LUGENDO imepatwa na tatizo la kuunguliwa nyumba yao, mbali na hilo familia hii kuanzia baba na watoto wagonjwa, ambapo mtoto wao wakwanza miaka 20 sasa hazungumzi wala kusimama na kutembea kabisa. Global Tv Online tumeweza kufika kujionea na kuzungmza na familia hii.

Leave a Comment