×

Mauno Ya Hamisa Mobeto kwa Fally Ipupa, Ashindwa Kujizuia-Video

MWANAMUZIKI Mkubwa kutoka Congo, Fally Ipupa, usiku wa kuamkia leo amefanya Bonge la shoo katika ukumbi wa Mlimani City, ambapo akiwa stejini anaimba mrembo Hamisa Mobeto akajikuta akishindwa kujizuia na kupanda kumtunza pesa kisha kucheza nae..

Leave a Comment