×

Timothy Evans: Jamaa Aliyenyongwa Kimakosa, Kisa Kubambikiwa Kesi-Video

Yapo matukio ambayo ukiyasikia lazima moyo wako uumie kupita kiasi, Miongoni mwa matukio hayo ni hili linalomuhusu Bwana TIMOTHY EVANS , Mwingereza ambaye alibambikiwa kesi ya mauji ya familia yake akiwemo mke na mtoto akanyongwa hadi kufa lakini miaka mitatu baadae ikaja kujulikana alinyongwa kimakosa kwani hakuwa na tuhuma zozote za mauaji bali aliyehusika ni jirani yake…

Leave a Comment