×

Wamachinga Wanafunguka, Vurugu Zilizotokea Jana-Video

BAADA ya jana kutokea vurugu Kariakoo zilizohusisha wamachinga ambao wanatakiwa kuhama kwenye maeneo wanayofanyia biashara kwa sasa na kwenda maeneo ambayo yametengwa na serikali, leo Oktoba 20, wameitisha mkutano na wanahabari kuzungumzia suala hilo.

Leave a Comment