
MWANAMITINDO maarufu nchini Kenya, Vera Sidika ‘Vee Beiby’ Oktoba 20,2021 amejifungua mtoto wa kike.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vera Sidika amepost picha akiwa hospitali na mpenzi wake Brown Mauzo @brownmauzo254 na kuandika kuwa “20.10.2021 at 10:21am.🎊A princess was born🎊.Asia Brown @princess_asiabrown. You will always be the miracle that makes our life complete”.