×

CCM Yafumua Makatibu Nchi Nzima, Yapanga Upya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu.

 

Hivyo Chama kimefanya uteuzi wa makatibu wa mikoa 32, waliobaki vituo vyao vya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na wapya ni 9; aidha makatibu wa wilaya ni 168 ambapo waliopangiwa vituo vipya ni 67, waliobaki kwenye vituo vyao vya kazi ni 45 na wapya ni 56. Katika uteuzi huu kwa kuzingatia suala la jinsia wanawake ni 67 sawa na asilimia 33.5 na wanaume ni 133 sawa na asilimia 66.5.

 

Katika uteuzi huu hakuna hata mmoja aliyetoka nje ya mfumo wa Chama Cha Mapinduzi. Makatibu wapya wa Mikoa na Wilaya wametokana na kupandishwa hadhi kwa makatibu wa CCM wa Wilaya, makatibu wa jumuiya za CCM Wilaya na Mikoa, Maafisa wa Chama na jumuiya Makao Makuu kwa utendaji kazi wao mzuri pamoja na makatibu waliorejeshwa kwenye utumishi kutokana na utiifu wao kwa Chama.

 

Katika uteuzi huu Kamati kuu ya Halmashauri kuu ilizingatia sifa za ziada ikiwemo uadilifu, uaminifu, weledi, uwezo, bidii, ubunifu, jinsia na rika. Makatibu wapya na waliohamishwa vituo vya kazi kwa Mikoa na Wilaya wanatakiwa kuripoti vituo vyao vya kazi mara baada ya kupokea barua zao. Uteuzi wa Makatibu wa CCM Mikoa na Wilaya uliofanyika ni kama ifuatavyo:-

 

Uteuzi huu umeanza mara moja kuanzia tarehe 6 Novemba, 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,
Itikadi na Uenezi.
8 Novemba, 2021

 

 

  1. MAKATIBU WA CCM WA MKOA
Na Jina Kamili KITUO
1 Ndg. Mussa Dadi Matoroka Arusha
2 Ndg. Adam Ngalawa  Dar Es Salaam
3 Ndg. Pili Mbanga Dodoma
4 Ndg. Mwanamasudi Pazi Rukwa
5 Ndg. Naomi Kapambala Manyara
6 Ndg.Omar Mtuwa  Katavi
7 Ndg. Rukia Mkindu Iringa
8 Ndg. Innocent Nanzabar Simiyu
9 Ndg. Elias Mpanda Morogoro
10 Ndg. Marco Mbanga Kaskazini Pemba
11 Alhaji Saad Kusilawe  Mbeya
12 Ndg. Donald Etamya Magesa Shinyanga
13 Ndg. Yusuf Said Goha  Pwani
14 Ndg.  Barnabas Essau Lindi
15 Ndg. Langael Akyoo Mara
16 Ndg. Alexandrina Katabi Geita
17 Ndg. Suleiman Mzee Tanga
18 Ndg. Mobutu Malima Kigoma
19 Ndg. Julius Peter Mwanza
20 Ndg. Christopher Palangyo Kagera
21 Ndg. Mgeni Musa Haji  Mtwara
22 Ndg. Lucy B. Shee Singida
23 Ndg. Solomon Kasaba Tabora
24 Ndg. Jonathan Mabihya Kilimanjaro
25 Ndg. Mullar Othuman Zuber Magharibi
26 Ndg. Mohamed Ally  Khalfan Kusini Pemba
27 Ndg. Shaibu Akwilombe Ruvuma
28 Ndg. Amina Imbo Kusini Unguja
29 Ndg. Abdullar Mwinyi Hassan Njombe
30 Ndg. Salum Suleiman Tate Mjini
31 Ndg. Juma Mpeli Songwe
32 Ndg. Ramadhan Rajab (Kapeto) Kaskazini Unguja

 MAKATIBU WA CCM WA WILAYA

  1. ARUSHA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Kataba Sukuru Arusha Mjini
2. Ndg. Shaban Mrisho Karatu
3. Ndg. Safina Alfred Monduli
4. Ndg. Aboubakar Ghaty Ngorongoro
5. Ndg. Mwadawa Maulid Arumeru
6. Ndg. Gulisha Mfanga Meru
7. Ndg. Alaw Haidary Longido
2  DAR ES SALAAM
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Idd Mkowa Ilala
2. Ndg. Kitte Mfilinge Temeke
3. Ndg. James Mgego Kinondoni
4. Ndg. David Mollel Kigamboni
5. Ndg. Henry Msunga Ubungo
3 MKOA WA DODOMA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Sophia Kibaba Dodoma Mjini
2. Ndg. Omary Ng’wanang’walu Chamwino
3. Ndg. Jamila Mujungu Bahi
4. Ndg. Sophia Kiwanga Mpwapwa
5. Ndg. Himid Tweve Chemba
6. Ndg. Joyce Mkaugala Kongwa
7. Ndg. Maimuma Likunguni Kondoa
4 MKOA WA GEITA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Odilia Batimayo Bukombe
2. Ndg. Tija Magoma Geita
3. Ndg. Josephat Chacha Mbogwe
4. Ndg. Chiku Masanja Nyang’wale
5. Ndg. Charles Mazuri Chato
 5  MKOA WA IRINGA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Frida Kaaya Mufindi
2. Ndg. Christina Kibiki Kilolo
3. Ndg. Gama J. Gama Iringa Vijijini
4. Ndg. Bora Ngaraba Iringa Mjini
 6.       MKOA WA KAGERA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Frata Katumwa Bukoba Mjini
2. Ndg. Adam Sudi Biharamulo
3. Ndg. Jesca Ndyamkama Bukoba Vijijini
4. Ndg. John Melele Ngara
5. Ndg. Agness Kasela Muleba
6. Ndg. Francis Kambona Kyerwa
7. Ndg. Anatory Nshange Karagwe
8. Ndg. Bakari Mwacha Misenyi
 7.       MKOA WA KATAVI
NA JINA KAMILI KITUO A
1. Ndg. Evarist Mkingwa Mpanda
2. Ndg. Sadick Kadulo Mulele
3. Ndg. Adelaida Machenchewa Tanganyika
8.       MKOA WA KIGOMA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Semindu Pawa Kigoma Vijijini
2. Ndg. Jumanne Kitundu Kigoma Mjini
3 Ndg. Salum Khamis Haji Buhingwe
4 Ndg. Zainab Kasimba Uvinza
5 Ndg. Emmanuel Mhene Kakonko
6 Ndg.  Raphael J. Sumaye Kibondo
7 Ndg. Abdallah Kazwika Kasulu
 9.       MKOA WA KILIMANJARO
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Ibrahim M. Ibrahim Moshi Mjini
2. Ndg. Ramadhani Mahanyu Moshi Vijijini
3. Ndg. Ally Musa Balo Hai
4. Ndg. Mary sulley Rombo
5. Ndg. Victoria Mahembe Mwanga
6. Ndg. Hamisa Chacha Same
7. Ndg. Ally Kidunda Siha
 10.   MKOA WA LINDI
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Asha Mwendwa Lindi Mjini
2. Ndg. Jamal Khimji Lindi Vijijini
3. Ndg. Mwanaisha Ame Ahmed Nachingwea
4. Ndg. Abas Mkweta Ruangwa
5. Ndg. Mayasa Kimbau Kilwa
6. Ndg. Sophia Nkupe Liwale
11.   MKOA WA MANYARA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Filbert Mdaki Babati Vijijini
2. Ndg. Agness Chuwa Hanang’
3. Ndg. Daniel Mhina Babati Mjini
4. Ndg. Amos Shimba Simanjiro
5. Ndg. Salum Mgaya Mbulu
6. Ndg. Denis Zacharia Kiteto
12.   MKOA WA MARA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Burhan Ruta Musoma Mjini
2. Ndg. Norbaty Kibaji Musoma vijijini
3. Ndg. Hamis Kura Butiama
4. Ndg. Loth Olemeirut Bunda
5. Ndg. Naboth Manyonyi Rorya
6. Ndg. Mary Kananda Serengeti
7. Ndg. Valentine D. Maganga Tarime
 13.   MKOA WA MBEYA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Denis Luhende Mbeya Mjini
2. Ndg. Rehema Nzunye Mbeya Vijijini
3. Ndg. Abdalla H. Mpokwa Rungwe
4. Ndg. Gervas Ndaki Kyela
5. Ndg. Charles J. Seleman Chunya
6. Ndg. Clemence Mponzi Mbarali
 14.   MKOA WA MOROGORO
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Silvester Yaredi Morogoro Mjini
2. Ndg.Emanuel Mbamange Morogoro Vijijini
3. Ndg. Highness Munisi Gairo
4. Ndg. Salum Omar Mkadamu Ulanga
5. Ndg.  Shaban Mdoe Kilosa
6. Ndg. Ebenezer Mainoya Kilombero
7. Ndg. Florence Machicho Mvomero
8. Ndg. Abdulrahman Hamid Hamad Malinyi
15.   MKOA WA MTWARA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Didas Zimbihile Masasi
2. Ndg. Clemence Emanuel Bakuli Mtwara Vijijini
3. Ndg. Eliud Shemauya Nanyumbu
4. Ndg. Sophia Lipenye Newala
5. Ndg. Haji Machano Juma Mtwara Mjini
6. Ndg. Mohamed Ali Abdalla Tandahimba
 16.   MKOA WA MWANZA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Geofrey Kavenga Nyamagana
2. Ndg. George Silindu Ukerewe
3. Ndg. Aziza Isimbula Ilemela
4. Ndg. Muhsin Zikatimu Sengerema
5. Ndg. Moza Ally Magu
6. Ndg. Chollage Ally Chollage Misungwi
7. Ndg. Latifa Malimi Kwimba
 17.   MKOA WA NJOMBE
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Sure Mwasanguti Njombe
2. Ndg. Amos Kusakula Ludewa
3. Ndg. Tukai Naitapwaki Wanging’ombe
4. Ndg. Daniel Muhanza Makete
 18.   MKOA WA PWANI
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Rukia Mbasha Kibaha Vijijini
2. Ndg. Ali Salum Suleiman Kibaha Mjini
3. Ndg. Josephine Mwanga Kisarawe
4. Ndg. Yusuph Ramadhan Abdallah Bagamoyo
5. Ndg. Salehe Kikweo Mkuranga
6. Ndg. Acheni Maulid Rufiji
7. Ndg. Kulwa Milonge Mafia
8. Ndg. Muhidin Zacharia Kibiti
 19.   MKOA WA RUKWA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Lucia Chamu S’wanga Vijijini
2. Ndg. Tabu Hussein Sumbawanga Mjini
3. Ndg. Robert Mwega Nkasi
4. Ndg. Hassan Ntalika Kalambo
 20.   MKOA WA RUVUMA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Ramadhan Abbas Suleiman (Mcheju) Namtumbo
2 Ndg. Juma Nambaila Songea Vijijini
3 Ndg. Jacob Siay Aloyce Mbinga
4 Ndg.  Paulo Aladin Mwalubuga Nyasa
5 Ndg. Mohamed Mavala Tunduru
6 Ndg. Amir Mkalipa Songea Mjini
21.   MKOA WA SHINYANGA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Agness Bashem Shinyanga Mjini
2. Ndg. Ernestina Richard Shinyanga Vijijini
3. Ndg. Mary G. Mhoha Kahama
4. Ndg. Peter Mashenji Kishapu
22.   MKOA WA SIMIYU
NA JINA KAMILI KITUO ANACHOHAMIA
1. Ndg. Joel Makwaiya Meatu
2. Ndg. Mathias Shidagisha Maswa
3. Ndg. Steven Koyo Busega
4. Ndg. Hassan Milanga Itilima
5. Ndg. Renatus Masanja Sallu Bariadi
 23.   MKOA WA SINGIDA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Shaban K. Hamis Singida Mjini
2. Ndg. Matha Zingula Mkalama
3. Ndg. Salum Issa Haji Manyoni
4. Ndg. Ephrahim Kolimba Iramba
5. Ndg.Anthony Katani singida Vijijini
6. Ndg. Stamil Dendego Ikungi
24.   SONGWE
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Hamis Mbogela Songwe
2 Ndg. Julius Mbwiga Mbozi
3 Ndg. Hassan Lyamba Ileje
4 Ndg. Steven Elisha Shija Momba
 
 25.   MKOA WA TABORA
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Neema Lunga Tabora Mjini
2. Ndg. Mwanamvua Killo Igunga
3. Ndg. Bakari Mfaume Uyui
4. Ndg. Adia Mamu Nzega
5. Ndg. Magdalena Ndwete Sikonge
6. Ndg. Salome Luhingulanya Kaliua
7. Ndg. Petronila F. Kichele Urambo
26.   MKOA WA TANGA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Miriam Kaaya Lushoto
2 Ndg. Suraiya Kangusu Kilindi
3 Ndg. Evarist Mluge Korogwe Mjini
4 Ndg. Fatuma J. Shomari Korogwe Vijijini
5 Ndg. Zawadi Nyombi Pangani
6 Ndg. Lucy Beda Wilson Mkinga
7 Ndg. Twalib Berege Tanga
8 Ndg. Anastazia Amas Handeni
9 Ndg. Simon M. Leng’ese Muheza
 27.   MKOA WA MJINI
NA JINA KAMILI KITUO
1. Ndg. Ibrahim Mpwapwa Mjini
2. Ndg. Veronica Ndaro Amani
 28.   MKOA WA MAGHARIBI
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Mwasiti Hassan Mohamed Mfenesini
2 Ndg. Getrude Sinyinza Dimani
 29.   MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Inne Ame Machano Kaskazini ‘A’
2 Ndg. Shemsa Simon Himbula Kaskazini ‘B’
30.   MKOA WA KUSINI PEMBA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Hassan Khatibu Hassan Chakechake
2 Ndg. Nicolaus Chibwana Mkoani
 31.   MKOA WA KUSINI UNGUJA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Asha Mzee Omar Kusini
2 Ndg. Omar Justas Morris Kati
32.   MKOA WA KASKAZINI PEMBA
NA JINA KAMILI KITUO
1 Ndg. Ally Khamis Juma Micheweni
2 Ndg. Bilali Hussein Maulid Wete

Leave a Comment