Mpiga picha aliyekuwa amepewa kazi ya harusi ya mwandishi wa Radio Mbulu Manyara, Agustino Hamis na mpenzi wake Magreth amefunguka siku ya tukio jinsi ilivyokuwa hadi walipolazimika kupiga picha hizo wakiwa hospitali.