Waziri wa madini doto biteko amemuagiza mkuu wa wilaya ya kilindi mkoani tanga kuhakikisha ndani ya wiki moja wanaanzisha kituo cha kuzuia madini kwenye mgodi kijiji cha seita kata ya kikunde badala ya kuwa na soko eneo LA mjini ambako hakuna dhahabu