×

Rais Samia Na Museveni Wanazungumza Ikulu Dsm Muda Huu-Video

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili nchini leo Novemba 27, kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu siku. Rais Museveni amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan na kwa pamoja watafanya mazungumzo ya faragha na kufuatiwa na mazungumzo rasmi…..

Leave a Comment