×

Performance Ya Kwanza Ya P Square Nchini Nigeria Baada Ya Maelewano

 

Kundi la muziki la P-Square kutoka Nigeria sasa limerejea rasmi, hii ni baada ya kutangaza show yao ya kwanza pamoja tangu kumdi hilo  livunjike.

Kundi hilo linaloundwa na Peter na Paul Okoye limetangaza show yao itakayofanyika Disemba 18 mwaka huu, nchini Nigeria.

Ikumbukwe tu kwamba kundi hilo kabla ya kuvunjika kwake mwaka 2015, lilijizolea umaarufu kupitia nyimbo  mbalimbali ikiwemo Beautiful Onyinye, Temptation, No One Like You na nyinginezo  nyingi.

Leave a Comment