Polisi mkoani Mbeya wamefanikiwa kumfunga jela miaka (20) SIMEON EUGENIA FADUCUANE, (44) raia wa Mozambique, kwa kosa kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Heroine Hydrochloride.