Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Desemba 4, 2021 anazindua maboresho ya Gati namba 1 hadi namba 7 katika Bandari Kuu ya Dar es Salaam.