×

Video: Masai Anaye Trend Tiktok, Instagram, Asimulia Alivyolipwa Mil 150


Global TV imefunga safari kutoka Sinza Mori jijini Dar es Salaam zilizopo ofisi zake, mpaka Mindu Tulieni, Chalinze mkoani Pwani, lengo likiwa moja tu, kukutana na Mmasai anayejulikana kwa jina la Kili Paul na kusikia stori ya maisha yake, ambayo ama kwa hakika, inasisimua sana… fuatilia! ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment