×

LIVE:Waziri Mkuu Anashiriki Kongamano La Biashara Na Uwekezaji…

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo anashiriki katika kongamano la biashara na uwekezaji pamoja na mkutano mkuu wa wanachama, linalofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam.

Leave a Comment