×

Rais Samia Anashiriki Mdahalo wa Kitaifa Kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa kwa Mwl. Nyerere-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan ashiriki mdahalo wa kitaifa wa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 09 Aprili, 2022 Shule ya Uongozi Kibaha, Pwani.

Leave a Comment