Mwili wa Mama Mzazi wa msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Lulu Abbas au Lulu Diva umezikwa nyumbani kwao Muheza, Tanga leo Desemba 21, 2021 baada ya kufariki jana Jijini Dar es salaam.