Watoto wanne wamefariki Dunia, Kaskazini Unguja huku wengine 47 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kivunge kutokana na kula nyama ya Kasa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Taarifa zaidi tutakujuza.