×

Aliyekuwa Askofu Mkuu Wa TAG Tanzania Afariki Dunia

Askofu Prof. Ranwell Mwenisongole alikuwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la City Christian Center (CCC) – TAG Upanga Jijini Dar es Salaam na alikuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa TAG Tanzania kwa Awamu ya Pili

Taarifa ya Kifo chake imetolewa na Ofisi ya TAG – Makao Makuu Dodoma. Askofu Mwenisongole alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Kisukari na Shinikizo la Damu.

Leave a Comment