×

Mpigania Haki wa Afrika Kusini, Askofu Tutu Afariki Dunia

IKULU ya Afrika Kusini imetangaza kuwa Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel na mpigania haki nchini Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.

 

Taarifa ya ofisi ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa imeeleza kuwa Rais amesikitishwa na kifo hicho na kwa niaba ya raia wote wa Afrika Kusini anatoa pole kwa mke wa Askofu Tutu na familia nzima ya askofu huyo.

 

 

Leave a Comment