×

Charles Hilary Ateuliwa Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, amemteua Charles Martin Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya mawasiliano Ikulu Zanzibar. Taarifa iliyotolewa leo Desemba 30, 2021 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar imeeleza.

Leave a Comment