×

Video: Rais Samia Akipokea Taarifa Ya Utekelezaji Wa Mpango Wa Maendeleo


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 leo tarehe 04 Januari, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment