×

Ahmed: Azam Anakufa, Simba Hatufiki Penati – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, kuelekea fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho Januari 13, katika uwanja wa Amaan.

Leave a Comment