Mwanaharakati Joyce kiria amefunguka kupitia kipindi cha Mapito kinachoruka kupitia Global Radio na Global TV Online na kueleza kuwa ni muhimu vijana wafahamu zaidi kwamba kabla ya kuingia kwenye ndoa muhimu kujua kujitegemea katika maisha yao.