Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 15, 2022 amewatembelea kuwajulia Maaziri Wakuu Wastaafu Mzee Mizengo Pinda na Mzee John Samwel Malecela Nyumbani kwao Jijini Dodoma .