
Rais Samia amefanya teuzi mbalimbali leo Januari 18, 2022, ambapo amemteua Bw. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini.
