×

TANZIA: RC Shigella Afiwa na Mkewe


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shighela,amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Aghakhan Jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa. Taratibu za Mazishi zinaendelea nyumbani kwake Salasala Jijini Dar es salaam.

Leave a Comment