Polisi Wanaotuhumiwa Kuua Wafikishwa Mahakamani Global Publishers February 8, 2022 0 Comments SHARE THIS: Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara ambao wanatuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mtwara kwa ajili ya kesi yao kutajwa leo Feb 8, 2022 wakiwa chini ya ulinzi mkali. SHARE THIS: