×

Mwili Wa Dkt. Mwele Malecela Waagwa Dar Es Salaam-Video

MWILI wa Dkt. Mwele Malecela umeagwa leo katika viwanja vya Karimjee  jijini Dar es salaam, alizaliwa 26 machi 1963 na kufariki Dunia siku ya Alhamisi Februari 10, 2022.

Kabla ya kifo chake Dkt. Mwele  alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI), aliwania nafasi ya mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Leave a Comment