×

Wastara Asimulia Mfalme Zumaridi Alivyotaka Kumfufua Sajuki Aongee Nae -Video

MOJA kati ya matukio ambayo yametrendi hivi karibuni ni pamoja na lile la Mfalme Zumaridi ambaye amejikuta kwenye mikono ya sheria baada ya kukamatwa na polisi nyumbani kwake kwa makosa mbalimbali.

 

Mfalme Zumaridi amekuwa maarufu zaidi kupitia ile staili ya waumini wa kanisa lake kutetema kama mazombi.

 

Sasa story mpya inayomhusu yeye inatoka kwa muigizaji Wastara Juma ambaye ameeleza kisa kinachomhusisha yeye na Mfalme Zumaridi.

 

Wastara ametema nyongo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa, Mfalme huyo aliwahi kudai kuwa marehemu mume wake Sajuki na Kanumba wapo hai jambo ambalo analiona halina ukweli na Mfalme huyo anaitumia dini vibaya.

 

Global TV tumeona isiwe kesi, acha tumvutie waya Wastara mwenyewe aweze kutunyooshea maelezo yote…. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment