×

FOA Ya Diamond Mil. 30

Diamond Platnumz; ni nguli wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania ambaye anasema kuwa albam yake fupi (EP) ya First Of All (FOA) imeweka historia ambayo haijawahi kutokea.

Ukiachilia mbali rekodi mbalimbali alizowahi kuweka Diamond, hii ni ya kipekee ambapo ameingiza kwenye trending nyimbo zake zote 10 zilizopo kwenye EP hiyo.

Diamond aliachia rasmi EP hiyo Machi 11, 2022 ikiwa na nyimbo 10 na mpaka sasa imefikisha streams zaidi ya milioni 30 kwenye platforms tofauti za kusikilizia muziki.

Mwenyewe ameandika; “The FOA love is historical… 1,2,4,5,6,7,8,9,10, 11…”

cc; @sifaelpaul

Leave a Comment