×

Video: Mchungaji Asimulia Alivyonusurika Kuchomwa Moto, Kuhukumiwa Miaka 30 Jela!

UNAWEZA ukakaa na kufikiri kuwa wewe una shida nyingi na kwamba Mungu amekusahau mpaka siku utakapo kutana na mtu aliyepitia shida nzito KULIKO wewe! Kutana na MCHUNGAJI  DEOGRATIUS MASAWE akipiga stori na @lillianmwasha kuhusu kifungo chake cha miaka 30 jela kwa kosa la UJAMBAZI!….TAZAMA HAPA

 

 

 

 

 

Leave a Comment