×

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Ikulu Jijini Dar Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 12, 2022 amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya mazungumzo yao.

 

Rais Samia, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment