×

Waziri Mkuu Atembelea Ujenzi wa Nyumba Kijiji cha Msomera Wilayani Handeni

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akikagua nyumba zinazojengwa katika kijiji cha Msomera  wilayani Handeni mkoani Tanga

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amefanya ziara na kukagua nyumba 103 miongoni mwa nyumba zinazojengwa na Serikali katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni moani Tanga kwa ajili ya wananchi walioridhia kuhama katika hifadhi ya Taifa ya Norongoro.

Waziri Mkuu ameagiza Wizara husika kusimamia na kuhakikisha Ujenzi unakamilika kwa wakati

Waziri Mkuu amezitaka Wizara zinazohusika na uendelezaji wa kijiji hicho kukamilisha haraka zoezi la ujenzi

Leave a Comment