×

Rais Samia Asema Serikali Imeweka Mkazo Kwenye Sekta za Kilimo, Uvuvi na Ufugaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imeweka mkazo mkubwa katika sekta za kilimo, uvuvi na ufugaji kuanzia mwaka wa fedha ujao.

Leave a Comment