×

Vodacom Watembelea Hospitali ya Mkomaindo Masasi Kujionea Maendeleo ya Huduma kwa Watoto Njiti

Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Devotha Namahala (kulia) akitoa ufafanuzi wa matumizi ya kifaa tiba ‘baby warmer’ na mashine ya oxygen kwa Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald alipotembelea hospitali ya Mkomaindo ili kujionea utendaji kazi wa vifaa vilivyotolewa na taasisi hiyo kwa ajii ya kusaidia matibabu ya watoto njiti hospitalini hapo. 

 

Muuguzi akionesha jinsi ya kutumia kifaa kinachotumiaka kuwahudumia watoto hao.

Leave a Comment