×

Breaking News: Mambo ni Moto Simba, Kocha Pablo, Kocha wa Viungo Watimuliwa

Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.

 

KLABU ya SIMBAimetangaza rasmi leo Mei 31, 2022, kuachana na Kocha wake Mkuu Pablo Franco na Kocha wa viungo Daniel De Castro Reyes, kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Leave a Comment