×

Live: Mwili wa Aliyejiua kwa Risasi Umefikishwa Nyumbani Kwake Tayari Kusafirishwa Kwenda Kuzikwa

MWILI wa Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza Said Oswayo (37) anayedaiwa kujiua kwa risasi umetolewa chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya kanda Bugando na kupelekwa nyumbani Buswelu Mwanza utakapoagwa kisha kusafirishwa kuzikwa Kijijini kwao Etaro Musoma.

Leave a Comment