LEO Juni 02, 2022 viongozi wa Vilabu vya Simba na Yanga, wanazungumza na wanahabari kuhusiana na shindano la ‘NANI ZAIDI’ linalowashindanisha wakongwe hao wa mpira Tanzania, kwenye suala la wachezaji bora, klabu bora na mengine mengi.