×

Vodacom Waja na Simu Janja ya Samsung Galaxy A73 5G Kupatikana Maduka Yote

Mkuu wa Kitengo cha Mauzo na Usambazaji Vodacom Tanzania PLC, George Lugata (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya kisasa aina ya Samsung Galaxy A73 5G ambayo itapatikana kwenye maduka yote ya Vodacom nchi nzima ikiwa na ofa ya intaneti ya 8GB kila mwezi bure kwa mwaka mmoja. Kushoto ni Meneja mkazi Samsung Tanzania, Manish Jagra na Mkuu wa Mauzo na Masoko Samsung Tanzania, Moses Mtweve. Ujio wa simu hii utaongeza matumizi ya vifaa vya kidijitali nchini. 

 

Sehemu ya wageni waalikwa na wanahabari walihudhuria hafla hiyo.

Leave a Comment