×

Video: Mrembo Aliyetupwa Jela Sauzi Afrika Miezi 6, Mapya Yaibuka | Mapito

Binti wa Kitanzania, Leyla Hamud amesimulia mapito ya maisha yake likiwemo tukio la kutaka kubakwa na mjomba wake katika kipindi ambacho alikuwa akitafuta msaada wa kusomeshwa.

Ametyasema hayo katika Kipindi cha #Mapito wakati akihojiwa na mtangazaji @zali_mapito ikiwa ni sehemu ya pili ya mahojiano naye.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

Leave a Comment