×

Nafasi ya Kazi TEMESA, DEREVA VIVUKO DARAJA LA II

POST DEREVA VIVUKO DARAJA LA II – 1 POST
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-08-24 2022-09-06
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kuendesha na kuongoza Kivuko;

ii.Kutoa maelekezo ya kufunga na kufungua kamba  za Kivuko;

iii.Kusimamia usalama wa abiria na mizigo ndani ya  Kivuko;

iv.Kusimamia upangaji wa abiria na mizigo kwenye Kivuko;

v.Kuhakikisha kwamba injini ya Kivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi;

vi.Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi;

vii.Kutunza daftari la safari za Kivuko;

viii.Kutunza nyaraka muhimu za Kivuko;

ix.Kusimamia  nidhamu na utendaji wa watumishi walio chini yake;

x.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  • Awe  na elimu ya kidato cha nne;

•Awe na ujuzi wa kuendesha na kutunza Kivuko uliothibitishwa na chuo cha Dar es Salaam Marine Institute au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili. (Rating of Navigation Watch/Refresher Rating) ;

•Awe amefuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye Vivuko (Mandatory courses /Refresher in mandatory courses).

 

REMUNERATION TGOS A

 

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave a Comment