×

Antony Joshua Akubali Kuzichapa Tena Disemba na Mwanamasumbwi Tyson Fury Baada ya Kuombwa Pambano

Tyson Fury Kuzichapa Na Joshua mwezi Disemba

TYSON Fury amemwita Anthony Joshua kwenye “Batle of  Britain”; Bondia Antony Joshua amejibu kwenye Twitter, akisema atakuwa tayari kupigana Desemba;

 

Oleksandr Usyk hatarajiwi kuwa tayari kwa pambano lisilopingika la ubingwa wa uzito wa juu na Fury mwaka huu.

Oleksander Usyk

Tyson Fury alikua anahitaji kukutana na Bondia Olexander Usyk ambaye alifanikiwa kumpiga bondia Antony Joshua na kutetea ubingwa wake. Usyk hayupo tayari kupigana mwaka huu.

 

Imeandikwa:Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa Mitandao

 

 

Leave a Comment