
Beki wa Klabu ya Yanga Kibwana Shomari alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Mashujaa kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda mabao 2-1
Kwa kosa hilo Kibwana atalipa faini Tsh Milioni moja
Pia mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Clement Mzize alionekana akiingia uwanjani na kutoa taulo golini kwa Dodoma Jiji kwenye mechi ambayo Yanga ilishinda bao 1-0
Kwa kosa hilo Mzize atalipa faini Tsh Milioni moja
