×

Makazi ya Raia wa Ukraine Yaliyokua Chini ya Urusi Yarejeshwa, Rais Zelensky apongeza

Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine

UVUMI umeenea kwa siku kadhaa juu ya uwezekano wa mafanikio katika eneo la mashariki la Kharkiv, lakini bila neno kutoka kwa maafisa wa Ukraine

 

Bw Zelensky alikataa kutaja maeneo ambayo yamechukuliwa tena, akisema kuwa “sasa sio wakati wa kuyataja”.

Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine

Hata hivyo maafisa wa marekani walisema Ukraine ilikuwa inapiga hatua katika kurudisha miji iliyokua chini chini urusi lakini wamesema Ukraine ilikua inafanya harakati hizo polepole lakini kwa umakini huku wakichukua tahadhari kutoka kwenye vikosi vya Urusi.

 

Imeandikwa: leocardia Charles kwa msaada wa mitandao.

Leave a Comment