GWIJI wa Taifa Stars Ally Mayay Tembele ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.