
SHABIKI maarufu wa klabu ya Yanga, Jimmy Kindoki leo Oktoba 7, 2022 amesema kuwa huu ni wakati wa mashabiki wa Simba kuweka tofauti zao pembeni hasa kwenye mechi zakimataifa kwa kuwa wanawakilisha taifa.
Kindoki amesema Wanasimba wanapaswa kuwashangilia na sio kuwazomea ili wapeperushe vema bendera ya taifa.
Ameyasema hayo leo Okotoba 7, 2022 kwenye kipindi cha miochezo cha Krosi Dongo cha @255globalradio
Yanga kesho itavaana na Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar