×

IGP Camillus Wambura Afungukia Tukio la Mauaji ya Wakulima, Wafugaji

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillus Wambura akizungumza na waandishi wa habari leo.

 

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillus Wambura amezungumzia tukio la mauaji yaliyotokea katika kijiji cha Ikwambi mkoani Morogoro yakihusisha baina ya jamii ya wafugaji na wakulima ambapo watu wawili wanadaiwa kufariki katika mgogoro huo ambapo wengine kadhaa kujeruhiwa.

 

Leave a Comment