×

Live: Bukoba: Miili 19 Waliofariki Ajalini Inaagwa Muda Huu, Vilio Vyatawala-Video

KUTOKA Bukoba mkoani Kagera Miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya Ndege ya Shirika la Precision Air inaagwa muda huu ambapo vilio vimetawala.

Leave a Comment